BO Togel Bandar Togel Casino Online Bandar Togel Bandar Togel Toto Togel Daftar Togel Bandar Togel Terbesar Slot Gacor BO Togel
Kwa wanafunzi wote waliochaguliwa mwaka wa kwanza SUA 2022/2023 - Sokoine University of Agriculture Students Organization (SUASO)

Kwa wanafunzi wote waliochaguliwa mwaka wa kwanza SUA 2022/2023

Jumuiya ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo,

 

inapenda kuwapongeza wanafunzi wote waliodahiliwa katika awamu ya kwanza ya udahili ambao majina yao yanapatikana katika website ya chuo.

 

Aidha tunawaasa wanafunzi waliochaguliwa SUA kwa kupata chuo kimoja kupakua barua ya udahili (admission letter) na fomu ya kujiunga na chuo kupitia akaunti zao za maombi.

 

Kwa wanafunzi ambao wamedahiliwa chuo zaidi ya kimoja ikiwemo SUA, wanaweza kuchagua SUA kupitia kujaza kodi maalumu kutoka TCU katika akaunti zao na wataweza kupata fomu ya kujiunga pamoja na barua ya udahili.

 

Mwisho: Tunaambatanisha link za group la WhatsApp na Telegram kwa waliochaguliwa wanaweza kujiunga na groups hizo ili kupata msaada zaidi.

 

Related Posts